Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com
      tuliamia New Africa baada ya shughuli            there is only one Jlo in Tz
 hapa ni holday inn roof top


yaani party animals utatujua maana New Africa tukafukuzwa hee jamani wadada mmetumia sana tunafunga bar tukawambia halali mtu hapa nani kasema?moja kwa moja mpaka holday inn kula raha

kwaherini utakaekubali sawa,utakae kataa pole wewe nuna wenzio mmmh tunasonga mbele

kushnehiiii
ciao

15 comments:

Anonymous said...

Sintah mi sikubali ....kweli nataka kuona unaeNDesha gari gani!??? sio watu mnajisifia mnajua kupary kumbe usafiri ni Premio....LOL...

Anonymous said...

heheheeeeeeeeeeeee da sauda

Anonymous said...

hahahaha wewe wa September 19, 2011 12:19 PM unachekesha kweli, kwani premio vipi ina rahisisha usafiri mjini

Anonymous said...

mie niliwahi kukuponda kwenye nguo ya miss tanzania....Ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...SINTA ULIPENDEZA KWENYE HIYO SHEREHE.kuhusu mamo ya kuingia hotel hii na ile mathali utozwi kiingilio kwenye hiyo hotel sidhani kama kuna haja ya kubisha....Kwani ukiweka hata 50 ukanunua redbull si pia umeingia n.k...hiyo sio issue..picha haielezi how much u spent.

Anonymous said...

hahhahaha huyu imemuumasana hahahhahahah walijua utachemsha sasa mambo ya gari na blog yanakujaje

Anonymous said...

mbona meza nyeupe hamkuwa na hela ya vinywaji au?

Anonymous said...

Miguu ya Sauda imekomaa sana, mwambieni avae nguo ndefu.

Anonymous said...

si ndio maana wakafukuzwa hahahha nilicheka siku ile.nafanya kazi hapa yaani tulicheka kwenye camera

Anonymous said...

hivi wewe unayejiita Jl wa Tz unaweza unajifananisha na jl kweli mtu mwenyewe umekoma na mkorongo hadi unatisha loooooooooooooo....

Anonymous said...

JLO muwe mnashauliana jimsi ya kuvaa na kujipamba ili msitiane aibu kweny kumbi za starehe. kama sauda uwe unamshauri jinsi ya kuvaa hata kujilemba.sawa mama?

jane bomba

Anonymous said...

yani huyo sauda cjapenda alivyo vaa,JLO uwe unamshauli shost yako jinsi ya kuvaa.please usiibanie comments yangu

jane bomba

Anonymous said...

ponda raha JLO maisha yenyewe yako wapi mama.

jane bomba

Anonymous said...

kama mimi ndiyo ningekuwa Sauda walahi nisinge vaa vitu vya ajabu ajabu, sauda wewe huoni wenzio wanavyopendeza, kila siku umo kwenye mashughuli mbona hujifunzi kutoka kwa wenzako kwani kuiga dhambi, kila blog unayowekwa watu wanakukosoa, jaribu kujifunza, tuna kupenda ndiyo maana tunasema

Anonymous said...

Sauda nakuonea huruma ustaa kazi jamani, sauda huna mvuto hupendezi vaa nguo refu kuwa wakawaida huko kujikoboa kwenu ndiyo maana watu wanakuponda, huna tofauti na Jackson shauri yako ngoja upate ugonjwa wa ngozi, kwani ukiwa mweusi hupendezi hadi mkorogo

Anonymous said...

mambo sinta mi ni mpenzi wa blog yako nilikuwa nataka nikuulize kama hivyo vitenge mlivyo vaa ni holandez wax .ulipendeza sana ila kitu kimoja mi ni mfanya biashara kama utahitaji vitenge kwa ajili ya shughuli yoyoyte [holandeze wax] unaweza kuoda nakutumia picha then ukipenda unanunua .email yangu ni bndizeyi@yahoo.com
nilikosa email yako ndio maana nimeandika huku usije kuipost thankxx