Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

THIS GOES OUT TO HATERSkuna watu wengine hawawapendi wenzao kwasababu tofauti,hivi kwanini mnakuwa na roho mbaya?ku commet juu ya watu vibaya ili mradi tuu nawe una kijiba cha roho OMG
The bible said lets love one another
but Sintah says dont hate me coz im beautiful,ndivyo nilivyoumbwa,
usikilize kwa makini weka earphone ndio itanoga zaid but make sure mwajiri wako asikubambe
ciao
have a blessed weekend
they call me jlo Tz

11 comments:

Teddy Kaegele said...

I KNOW BABE, SISI WATANZANIA BWANA TUNA CHUKI SANA.. ILA INSHALLHA NA WAO SI WAFUNGUE BLOG ZAO KUTWA KU MONITOR ZA WENZAO TUU... STUPID ASS LOW CLASS BITCHES... LIVE UR LIFE PS....XOXO

Anonymous said...

Mdogo wangu, acha ujinga na mashauzi ya ovyo. Mwanamke ukianza kuitwa mama unatakiw ana akili ikue. Siku zote ukitaka maisha yako yawe mazuri, ishi uwezavyo usiishi kwa kushindana na akina fulani, hujui mtu kafanya uchafu gani kupata hicho alicho nacho. Unatakiwa kumshukuru Mungu kwa alichokupa wala si kutaka kupata kama akina fulani. ukiamua kujifanya mjinga, utapungukiwa nini Sintah? waache wakuseme wafanye wafanyavyo lakini jifanye uoni. Ila unavyofanya sasa kujibizana ovyo, ndio tunakuona mjinga kabisaaa. Ijumaa kareem

sintah said...

thanks Teddy mimi love u so much,dont worry when was a little mummy said grow up and u will see the world
now with my two eyes i see it clearly lol

harrieth said...

Sintah nakupenda sana maana hujali na Mungu akujalie uendelee kuwasugulia hivyo hivyo

sweeden said...

much love to you baby gal jlo

Anonymous said...

kwani Sintah una boyfriend?

Anonymous said...

We nawe mashauzi dot.com si unyamze kwani lazima ujibishane ndiyo maana unawapa watu muda wa kukujaji hadi wagundue kasoro zako hata kama unajiona umrembo watakwambia mrembo gani huna kimo, kukaa kimya ni jibu tosha

jlo said...

wewe ann wa sept 16,2011 3.47pm
mimi nikiweka stori au wimbo ni mashauzi?mimi sijali sana wangu kwani we leave wit haters cant avoid them no matter what
siogopi chochote as long as im in a right path
if im ugly it is up to me but hubby says im beautiful and his choice ever thats y i get big headed

Anonymous said...

hahahah sinta umenikosha wasahii wanasema ukiona kibaya wasema cha nini na wenzako ntapata lini wajua kuna watu wanawish wawe kama wewe lakini waaaap kila mtu na mvuto wake bana sinta wewe mzuri sema bana now inabidi uanze gym hahahaha no more chips kuku

haters wako kila kona hata madungu zetu nayo sometime mahaters tu hahahah wapotezee babu wee hebu tulete picha bana za harusi tuone


sasa vipi shoga yangu sada ulipomuuliza alishanijua ama?

skinny gal

Anonymous said...

Ww teddy na ww wa kuwaita wenzio low class?au ww kuwa na hilo gov....nda la kizungu ndio unajiona high class?kweli mshamba mshamba tu,ww kama unakula na kulala mshukuru mungu si maneno mengi kuna wenzio wapo bongo na zaidi ya ww ulio huko usa au ndio dream yko kuishi usa?unapolala ww wenzio tulishahamka kama hujui tunakuona wakuja tu heheheeee cheko lako hilo akwambie nani na ww mdomo mrefu!!!!

ney said...

go go goooo sintaaa...go go go jlo...yan i 4got the name of ya blog ikbid nigoogle sinta wa bongo ndio kumkuta dina anakupa promooo nikasema afadhali here i gt u my dia me love tokea enzi za maigizo i wish urudi bt hutaki tena jaman,,,, i love u. ney.