Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SELENA AND JUSTINE (USA) VS HOT LULU (TZ)


KATIKA HALI YA KAWAIDA KWA SASA NCHI ZA AFRICA ZIMEKUWA ZIKIIGA SANA UTAMADUNI WA NCHI ZA MAGHARIBI, SWALI NI KWANINI LULU ALAUMIWE NA WAKATI TUMESHA ADOPT WESTERN CULTURE NA MTOTO KAMA SELENA NI MDOGO WA LULU
HAJAFIKISHA 18 BUT LULU AMEFIKISHA

HILI NI SWALA LA KUJIULIZA NA KULIELEWA SI YEYE NI JAMII ALIYOIZOEA
TO ME NO COMMENT ON THIS
USHAURI NI SHULE TUU LULU OTHERWISE ALL THE BEST,
LULU YOU ARE A STAR SO DO BEHAVE THAT WAY

FROM
ROSE K


9 comments:

Anonymous said...

Huyo dada aliyeandika hiyo message hapo juu hana akili hata kidogo,kwahiyo yeye anasupport ujinga anaoufanya LULU kwa sababu tumeadopt western culture,kwahiyo chochote wanachokifanya basi tuige hata kama ni upumbavu,sijui ana elimu gani huyo dada,stupid

juliana deus said...

mhhhh kwa ili mi yangu macho ps

Anonymous said...

yani kaniboa, hako katoto kuna mahali nilikakuta nikakosa majibu manake anavyoonekana na mambo yake tofauti. anayajua makubwa kuliko wakubwa wenyewe. huyo rose angekuwa lulu mwanae angeyasema hayo. we ni mwanamke pia tuone mtoto wako ayafanye hayo alafu useme western culture inaigwa.

Anonymous said...

ANAHITAJI THERAPY SIO MZIMA LULU ANABEBWA NA WAZEE SELENA ANATEMBEA NA RIKA YAKE NA ISITOSHE SWALA LA UKIMWI .GONOREA. HALIMPATI HUYU NA.SWALA.LA.SHULE.LIPO PALE PALE JE LULU ATAPONA KATIKA HAYO.BIBIE NEXT TIME USUPURUKUKE JIANDAE NA POST UNAYOTAKA ITUKA KWA WATU

Anonymous said...

huna akli Sintah pumbafu sana eti westrn culture ndiyo tunaigalakini ujinga hatuusapoti.mjinga sana we demu

JLO said...

tena wewe ndio pu**** maana umekurupa tu,angalia wenzio walivyo comment
ni mimi ndio nimetumhii habari?
hivi kwanini watu wanakurupuka jamani?mi naboreka na mijitu hii
Rose K ndio katuma habari sasa nikatae?
please read previous comment before ndio ujue namna ya ku flow like others
and syle up your too yesterday no wonder you dont know how it started
uko hapa ki shari and im not into that
get that its your choice to comment or lave it
usinichoshe,nisikuchoshe
kwa ujumla tusichoshane

JLO

marcelitha said...

she is stil very young n am surprised huyo aliyesupport ujinga anafanya huyu mtoto,anahitaji mdaada ili ajengwe kuwa mwanamke bora na mfano wa kuigwa coz ni mama wa kesho huyo so dnt just support eti western culture

Anonymous said...

SINTA HILO NALO NENO TENA UNGEANDIKA KWA HERUFI KUBWA AJIONEE VZR MOTHR F... NIMEMTUKANA

Anonymous said...

jaman ila tukumbuke kuwa tamaduni zetu haziruhusu,uyo lulu anatakiwa azingatie xul na sanaa mna kuna mda ataishiwa soko itakuwaje?