Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KAMA KUSOMA HUJUI JAMANI HATA PICHA HUONI??SIELEZEI CHOCHOTE PICHA INAONGEA HIO

RAMADHANI KAREEM LEO YA 17,SO 13 DAYS TO GO

STAY GOOD

36 comments:

Anonymous said...

hata chekechea wanavaa hivyo-picha bado haijielezi.

juliana deus said...

jamani kwani kuna m2 amekusakama tena kama hujasoma chochote sasa ungekua hujasoma ungekua na atlist na hii blog jamani haya sasa semeni lingine mapicha hayo ki2 cha UG.

Anonymous said...

heeee Sintah umewamaliza maneno ya mkosaji hayo

Anonymous said...

ulipendeza sana bidada ama kweli elimu ufunguo wa maisha

Anonymous said...

haya wameshaona picha tayari natumani kidomo domo chote kimya mama vizuri sana

Dina said...

hata kama chekechea wanavaa yuma picha na wewe tukuone umevaa
go my baby umeuwa kukata vidomo domo

Anonymous said...

ulipendeza mama,siku jhizi unatukosha sana

Rose said...

kusoma wanajua na kuona wameshaona wamebaki kimya sasa elimu inaendana na uzuri waseme mengine
si kila mtu anaweza ndio maana kuna wengine wana disco,wanakuwa wanaacha shule si kazi kidogo mama
hongera sana mwanawani wataajibeba

Anonymous said...

honmgera mammy ngoja tukupongeze maana kwenye ukweli lazima tuongee

Anonymous said...

mimi nataka mtu anijibu kuna msanii gani bongo mwenye post graduate,degree ukimuondoa mwanasalsafa na sinta
hongera mama waache waongee

Anonymous said...

hongera sintah

Anonymous said...

eti degree, thubutuuu labda ya kupewa si ya kuisotea darasani. majoho wanavaa hata certificate, diploma, chekechea hivyo usitudanganye. au unadhani hatujui ulichokuwa ukikifanya huko Uganda? eti msomi,lugha yenyewe unatuandikia broken kila siku, acha sifa zitakuua.

Anonymous said...

kweli wewe ni limbukeni ata kama umesoma au ujasoma haituhusu,nina wasiwasi na elimu yako maybe darasa la tatu b.

Sintah said...

i feel sorry for you who don't know anything for your information im not holding a Bachelor,i have my post graduate degree and soon will enroll Masters
na kama nina elimu ya darasa la tatu ni ya kwangu lete picha yako ya joho uliyopiga chekechekea we call it NUGU

if you dont have stay cool
to me sky isnt the limit so im aiming to the highest
if is broken is mine not urs
bye bye
sintah is my name

Anonymous said...

hivi ni postgraduate diploma au postgraduate digree? UTATA kama hata award yako huijui

Anonymous said...

Sinta kwani we ni muislamu!!??? Usichukie nimeuliza tu kwa nia njema dada...naomba unijibu

Anonymous said...

ANON WA AUG 17, 02:08PM, WAPO WENGI BWANA MWINGINE MR.II AKA SUGU, MANGE KIMAMBI NK, OTHERWISE HONGERA SINTAH KWA KUTUBLOGISHA MAANA WENGINE HUWA TUNAKUWA BORED TUWAPO MAKAZINI HIZI NDO BENEFITS ZENYEWE

Anonymous said...

walimwengu wanshida sana ,wanapenda kujua ya watu mpaka utumbo.sintah we endeleza libeneke mwaya.mungu atakusaidia.

mama rique

Anonymous said...

dada mi nakushauri kitu kimoja tu acha mkorogo, sinta tunayemjua wa enzi zile yuko na juma nature hakuwa hivyo, ulikuwa na ngozi nzuri sn lkn sasa umeiharibu vibaya. acha kujikoboa

Anonymous said...

Watu wana wivu Sinta we lisongeshe tu achana nao maana ukibishana na chizi na wewe utaonekana chizi, Congratulation kwa ulipofikia usijali walugaluga wasiojua wanalolifanya I appreciate ure doing, Mama Jack, Arusha

Anonymous said...

unatuboa tu, tunataka habari za maana siyo za kuji 'show off' bwana, vipi wewe. kila siku habari zako tu, sisi inatuhusu nini? tafadhali learn from your fellows.

Anonymous said...

ila wewe mswahili sasa hii blog ni ya kujibishana au kuonyesha unachofanya why don't u keep quiet wewe mbona unapenda ushari ushari kila nani mwenye shida na wewe ushajiishia siku nyingi unatafuta majina kwa nguvu... usome usisome aina faida kwa yoyote zaidi yako wewe na watu wako wanaokuhusu

Anonymous said...

yani wewe kenge maji kweli, yani picha ndo utuonyeshe umesoma? tuonyeshe transcript tuione kama umepita sana una PASS ya 2.1 wewe. huna jipya

Anonymous said...

HA HA HA WEWE ACHA KUTUPWAGA, LOL KILA MTU ANAJUA ULICHOKUWA UNAKIFANYA UGANDA, NASIKIA MASEBBO WALIJISHINDIA NA VILE NI WATU WAZIMA HAWAJAPITIA KISU ULIIPGATA. NA RE TAKE KIBAO KILA SEMESTER. ETI UMESOMA, WAKIITWA WALIOSOMA UTATOKA WEWE? MDOMO HUOOO KAMA CHAI JABA

Anonymous said...

Sasa Sintah mdogo wangu mbona umejichanganya mwenyewe? Hukupata Bachelors lakini umepata Postgraduate degree? Na soon una jienroll for Masters? Ni nini qualifications gani hizo unaongea mamii?

Ngoja nikusaidie you need to have at least a diploma or a Bachelor degree in order to qualify for Advance diploma, postgraduate diploma or even postgraduate degree.

Na kwa taarifa yako Master degree ni Postgraduate degree maana ukimaliza degree ya kwanza ambayo ni Bachelor unaitwa GRADUATE, na ukisoma degree ya pili ndio unaitwa kuwa una Masters au umesoma postgraduate degree. All in all ni wewe peke yako na nafsi yako ndio unaujua ukweli lakini maelezo yako yamejaa mashaka. ujue ukishapost kitu unakuwa umepublish na kinaonekana dunia nzima na watu wengi na watu wanaweza kujudge upeo wako kulingana na post zako. Huo ni ushauri wa bure take care mamaa!

Anonymous said...

Asojua nani kuwa elimu ya uganda hata vilaza wanaweza

Anonymous said...

hapo chacha umewamaliza na wale wanaosema wameyavaa chekechea waweke picha zao nao..haaoooooo wamewashuka shuuuuuuu.

Anonymous said...

BAELEZEE BAELEWE, NA KAMA HAWATAKI WAPE CD WAKAJIONEE FULL KUJIMWAGA NDANI YA NKHUMBA UNIV....CHEZEA WEWE!!!!DUCHE

SINTAH said...

LIMEWAKERA WALE WENYE WIVU KWA WALE WALIONISIFIA BRAVO,HERE I GO
I DID MY IST BACHELOR DEGREE IN PUBLIC ADMINISTRATION AND MGT
MY POST GRADUATE DEGREE IN DEVELOPMENT STUDIES
AND SOON WILL START MY MASTERS DEGREE IN INTERNATIONAL BUSINESS
KUWAONYESHA CHETI HAISADII NI MIMI NA MY SWEET CLOSE FRIENDS NA MY FAMILY
SO GET IT FROM ME NA KAMA UNAONA NA KUCHOSHA NA MY POSTS
GET THE HELL OUT OF MY BLOG BESIDES THERE MORE INTERESTING BLOGS TO VISIT

IM A PUBLIC FIGURE NDIO MAANA SIJIBU OTHER COMMENTS LAITI NISINGEKUWA????GOD KNOWS

NAWASHUKURU MLIONIPA MOTISHA
STAY BLESSED

dina said...

tunashukuru kwa kutuelewesha maana uliandika kifupi hatukuelewa achana nao maama

Anonymous said...

sasa na wewe mdau unamtaja Mange kimambi ni maarufu wa Tanzania au m,aarufu wa blog tuu kama michuzi hapo uliposema Sugu ulipatia
tofautisha watu maarufu na watu unaowajua mtaani

Anonymous said...

ANON WA AUG 19, 9:10AM, LIMEKUUMA EEH? KWANI WEWE UNAONA MANGE NI MAARUFU WA WAPI??? UKWELI WA MAJIBU UNAO MWENYEWE NA NAFSI YAKO, KWANI HAO WENGINE UMAARUFU WAO WA NINI??? LAKO HILO. SINTA UMEFANYA VYEMA KUWAELEWESHA HAO WALIOWEKA PAMBA MASIKIONI

Anonymous said...

HONGERA MWAYA SINTA ACHANA NAO HAO,MIMI MWENYEWE NINA BACHELOR,LAKINI POSTGRADUARE DIPLOMA NA POSTGRADUATE DEGREE NILIKUWA SIJUI KUZITOFAUTISHA,NIMEJUA JUZI TU KWAMBA POSTGRADUATE DEGREE NDIO MASTERS BUT ALL IN ALL HONGERA SANA,UNAJUA WATANZANI NDO MAANA HATUENDELEI YAANI NI WIVU TU UNAWASUMBUA,BADALA YA KUMSIFIA NYIE MNAMPONDA

Anonymous said...

Sinta wewe ni mzuri na msomi,umeolewa,MUNGU kakujalia umepata mtoto,ndio maana watu hawaachi kukuonea wivu,litawakera sana lakini ndo hivyo MUNGU Kakujaalia keep it up baby mwaaaaa

sintah said...

mdau wa hapo mbele neno post linamaananisha after au baada sasa kama umemaliza degree/dip ukichukua ya pili yake b4 masters lazima itaitwa post
kuna watu hawana uwezo wa kwenda moja kwa moja Masters au point zao hazitoshelezi lazima waende post b4 masters
natumaini umenielewa mpenzi na nashukuru kwa uelewa wako Mola awe nawe

bustani said...

hongera sana dada yangu usivunjike moyo kelele za mlango hazimkoseshi usingizi mwenye nyumba