Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HOLLYWOOD FRESH AT KEMPISKIBAADAE TUKAHAMIA LEVEL 8 KUENDELEZA RAHA
Hapo tukiwa kwenye lift tukamuomba mzungu atupige picha

USIKU HUO HUO NI NDANI YA MZALENDO PUB DJ BONNY ANAJUA PS ANAPENDA MUSIC WA NAIJA TUKAENDA KUCHEZA

tAJI liundi,na crew nzima tukicheza

My lovely Couple
Patrick Nyemela Ch 5 Presenter &PS
Mke halali wa Dj Bonny luv na Jlo

NASHUKURU SANA SABAHA,VENTURE,BONNY,MAKAY
KWA MUALIKO NILIFURAHI SANA KWA KWELI

SENKYU

12 comments:

Anonymous said...

hivi Sintah unapata mda gani wa kutulia nyumbani?
kila siku kiguu na njia
mnahela sana jamani maana kempisk,movenpick,protea mmh
JENGENI

JK said...

Sintah usibane comment bwana tume miss vituko wangu full kucheka heheeeee

Rose said...

Sintah umependeza sana dada nakutakia kila la heri katika maisha yako Mungu akuzidishie
bora uwe hivyo hivyo na marafiki zako mnapendana sana

sandie said...

Sintah pungua bwana
otherwise you look Hot

HS said...

Hao wadada wote walipendeza na nyie wote mmependeza

juliana deus said...

sintah mammy dont look back alwyz focus mbele hao wachawi wasiotaka kuona mabadiliko watajiju mamy kwan hujasikia wanaoimba taarabu wanasema "mdomo nyumba ya maneno tulijua watasema "kwa iyo kusema kwao hakukuzuii kufanya starehe hela yako bwana tumia ili ikuzoee mimi ni mdau mkubwa wa blog yako matusi yao weka kando tupe vyetu mtt wa kike uko bomba mbaya .

Anonymous said...

sinta umependeza sana nafurahi kuwa umekuwa sasa na Mungu atakuzidishia uendelee hivyo hivyo
hi to shemeji yetu

Anonymous said...

Sintah mimi ni mdau kutoka Zanzibar yaani ninakuzimia kweli naomba no yako ya cm ambayo ni private ili nikualike Zanzibar katika Eid

Anonymous said...

Weweeee wera wera Sabaha umependeza kweli kumbe wewe ndio mke wa Bonny?
hongera ila mwambie apunguze pombe

Anonymous said...

mmmmmh jamani raha za ma super star

Anonymous said...

jamani hao watoto edna na mwenzie ni mapacha nawajua mbona wamejichubua hivyo?
wanataka na wao wawe milupo?

Anonymous said...

umependeza ila pozi lako la miguu sijalipenda kila picha kulikoni?