Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SABA SABA DAY HOW WE ENJOYED AT SEA CLIFF KARAMBEZI RESTAURANTSea Cliff hotel we enjoyed the peninsula

27 comments:

kisura said...

Kuleni raha watoto life is too short.
nimependa handbag yako naweza kuipata wapi?

chichi said...

dukani kweni wewe ununui kitu mpaka upende cha sintah

Anonymous said...

niliwaona jana c cliff kiukweli sintah jana ulitoka nyoko, na yule mwarabu,ila sada jana ulikuwa kama mwanasesere vaa nguo kutokana na mwili wako usiwe kama FIDE

Anonymous said...

kwa kweli PS jana ulipendeza sana halafu mlitulia nyinyi wenyewe,mimi nakupendaga sana sintah
nitakupigia hio simu hapo juu si yako?

Anonymous said...

jamani jamani wewe sintah ulipendeza yaani nilikuona wakati unaingia supermarket jamani inshallah umebarikiwa dada na hongera Mungu atakuwa nawe milele,mlipendeza sana hilo bonge kama jini maiti looh umetowa wapi hiko kituko?

Anonymous said...

sinta kwakweli unatabia mbaya wewe huwa unapendeza halafu rafiki zako hawapedezi kwanini?huo sasa ni unafiki kwanini huwaambii ukweli jamani kuwa hii ni dunia ya kupendeza

Anonymous said...

tabia ya sintah ni moja anafanya hivyo ili atongozwe yeye tuu kwani hamumjui?hataki wapendeze wenzie

Anonymous said...

wapo wawili huwa wanachemsha ila sintah, mwarabu na yule mwingine mdogo mdogo anaweka nywele ndefu huwa wanapendeza ila lile bonge kwi kwi kama jana lilikuwa kama dolly.. jacky yupo simple ata jana alitoka simple sasa mbona sintah hujaweka picha ya yule shosti wako mwingine na jack?umetuwekea hilo nyang;unya?

sina sudi said...

kweli uyu mtoto anapenda apate yeye tu kote unapowakuta yeye ndio anaonekana king'ara kama jana lilipendeza kama nini ila nilimpenda yule rfiki yako aliyekuja mwisho na jacky alipendeza... lakini lile michelin mwee... na yule mwarbu pia alipendeza, ila uache kuwaambia wenzio wavae vizuri sio urfiki mwema huo sintah

Anonymous said...

sasa nyie mnamshutumu sintah kweni sintah ana makabati yao? acheni usenge kweni wenyewe awajui kuvaa hebu mwacheni sinta rada hawana damu ya kupendeza hebu tokeni kule

Anonymous said...

faitha umependeza sana ila saaada hilo wigi fumua kwi kwi kwi mama PS kama kawaida yako... PS OYEEEEEEEEE

Anonymous said...

kweli mdau kabisa sinta hana makabati yao msimtuhumu bure mumuache jamani mmezidi kumsema

Anonymous said...

sintah upo juuuuuuuu sana

Anonymous said...

i love you so much sintah

Anonymous said...

sintah rudi kwenye game jamani tumekumiss

shani zuberi said...

sada pls mwambie sintah atoe picha yako anakuchoresha yani hii kwa roho safiii jamani yani kichwa kama peraaa hahahah.... faitah kapendeza, ila sada umekaa kama unatega te teh... jana niliwaona sea cliff nilijua ulikuwa unanichekesha bora ulivyoondoka mapema ... kwi kwi... bora yule shosti mwingine aliyekuja na jacky, na jacky walipendeza tena sana nashangaa sintah ajawaweka kaja kumuweka sada hebu tutolee sintah

Anonymous said...

nyie wasenge nini sasa kama ajapendeza kweni mnamdai paka nyie kwendeni zenu msimzingue sada achana na wasenge hao kama sintah kapendeza sasa tufanyeje kama na uyo faitha sijui jacky sijui anayeweka nywele ndefu sisi tufanye nini hebu kuweni wastaarabu kidogo sada wewe ni mrembo tena sana tu

Anonymous said...

Mbona mmeishia kunywa maji? Hamna ela? Mmekosa wa kuwapa ofa???

Anonymous said...

Mbona picha haioyeshi kama mliinjoy naona ni mmoja tu ndio ana glass ya maji? Bei juu? mmezoea bei za rose garden??

saadah said...

hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,kazi nzuri vijana heheeeeeehhhe

Anonymous said...

wewe kitu cha sambuka kitu cha tekiraa pole weeeeeeeee kitu cha milk shake chezeiyaaaaaaaaaa.. kitu cha wine msonyoooo

supastaa said...

hahah viko wapi hapo mbonaavionekani waabishaji tu nyie msituchoshe hapa

saadah said...

i love your commentssssssssssssss keep it up tehetehetehe

saadah said...

i love your commentssssssssssssss keep it up tehetehetehe

Anonymous said...

sidhani kama mtu atoke huko asinywe kitu chochote sasa unataka waonyeshee walivyokula si mngesema wanawaonyeshea wasipoonyesha pia mnaongea ubiinadsamu kazi sana jamani
tena huo ni uswahili

kisura said...

We chichi pilipili iko shamba wewe mjini ya kuwashia nini? au umekuwa msemaji wa sintah, sikukuuliza wewe kimbelembele tu! au ulikuwa unatafuta sehemu ya kutolea stress zako. get a work

Anonymous said...

jamani kuna watu wengine hata wavae gunia wanapendeza,hamjui kila mtu na mvuto wake,pia sintah hawezi kumlazimisha mtu avae anavyotaka sintah sababu ya urafiki " NO " bali kila mtu ana choice yake.