Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

JINSI USAGAJI UNAVYOAMBUKIZA VVU,SOMA KWA UANGALIFUU,
From: Maisha Mema Community Organization
Date: 2011/7/16
Subject: MWANAMKE MSAGAJI ALIVYO NIAMBUKIZA UKIMWI
To: prettysinta244


Habari za kazi Pretty Sintah. Nianze kwa kukupongeza kwa uamuzi
wako wa kuanzisha blogu hii ya kijamii. Jina langu halisi
ninaitwa ...........(.nimelifuta jina kutokana na maombi yake), ( Tafadhali naomba ulihifadhi jina
langu )..Nina miaka 41...Ninaishi Tabata Mawenzi hapa hapa
jijini Dar es salaam. Ni muathirika wa virusi hatari vya
ugonjwa wa ukimwi. Ugonjwa huu niliupata kutokana na
kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanawake wenzangu (
USAGAJI ) Maelezo kamili kuhusu namna nilivyo jiingiza kwenye
usagaji na namna nilivyo pata maambukizi ya virusi vya ukimwi
kutokana na usagaji, ninayatoa kupitia blogu ya :
HTTP;//WWW.MAISHAMEMATANZANIA.BLOGSPOT.COM//... Itakuwa ni stori
kamili ambayo itakuwa ikitoka kila baada ya siku mbili..Nia,
lengo na madhumuni yangu kuyaanika maisha yangu ya usagaji
katika blogu ni kuweza kutoa ujumbe kwa wanawake wenzangu wa
kitanzania ambao wanajihusisha na vitendo vya kisagaji ili
waweze kuyajua madhara ya wao kujihusisha na vitendo hivyo na
hatimaye kuachana kabisa na tabia hiyo. Asante sana..


NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU ZA DHATI

3 comments:

Anonymous said...

habari hii angetumiwa SALMA KESSY wa miundo mbinu na NYOTA WAZIRI wa njenje maana wanajidanganya hawa .wamefanya vituko mpaka wakapewa talaka sasa wanaishi pamoja.kila siku salma anamfuata nyota kwake anakwenda nae nyumbani kwake ilala.fikiria anawatotot salam tena wakubwa,imagine analala na nyota asagwe usiku kucha.....anawajengaje hawa watoto?

Anonymous said...

kweli mdau umeongea neno,nastori hii iende kwa salama jabir na mkewe Bijoux kwa kweli wasichana wanajihusisha na mambo ya usagaji,kwakweli hii ni stori ya kusikitisha sana
sintah tunashukuru kwa kutuletea hii stori tutaichambua na wadau wengi wale wasagaji wote wa mjini tupeni majina yao tuyaweke wazi ili wajifunze

Anonymous said...

MMMH HATA HAKO KA NELLY NAKO KAMEANZA KUSAGWA JAMANI HEEEE DAR JAMANI