Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MAMBO YA SERENGETI FIESTA NDANI YA MBEYA


Wanaumeeeee eeeh wakishusha verse ndani ya Mbeya city

hapo ni mambo ya piga makofi tafadhaliii

4 comments:

Anonymous said...

sintah naona umemuweka bwana wako hahaah

Anonymous said...

mmmh Sintah,umemkumbuka muheshimiwa jamani kweli mahawara hawaachani

SINTAH WA UKWEEEEH said...

mnanishangaza sana mimi sina kinyogo na mtu kabisa na wala sina hata habari na mtu,mimi ni mwana habari kwahio nisiweke picha ya matukio kumuogopa mtu
looh itakuwa ngumu
atakaye fikiria ndivyo sivyo itakuwa ni mihogo yake,either aikaange,au apike futari

shanii said...

kweli sintah hilo nalo neno wewe tuwekee sisi habari watakaotafsiri vibaya mihogo yao kama ulivyosema