Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

I CALL HIM CHOCOLATE FLAVOUR

lawyer Marsha


JAMANI NATAMANI SIKU UKUTANE NA HUYU KIJANA MAANA JINSI ANAVYOTEMBEA UNAWEZA UKAACHA KAZI ZAKO ZOTE UMUANGALIE

USIMUONE SHARO B YAANI KITABU KWAKE KIPO SANAAA TUUU

HIVI KARIBUNI ATASIMIKWA KUWA ADVOCATE

SASA KWA WALE WENYE MATATIZO MUMUONE ILI AWAPE USHAURI WA MAMBO YA KI LAWYER

HE IS DOWN TO EARTH KWAHIO KILA MMOJA WENU ATAPATA KILE ALICHOKUSUDIA

CONGS MARSHA FOR THE NEW INAUGURATION OF BEING ADVOCATE MARSHA

CANT WAIT FOR THA DAY

3 comments:

Anonymous said...

mmmh Sintah huyu Advocate anapatikana wapi?ninataka kuona miondoko yake,halafu ana mapozi sana he is handsome

Anonymous said...

mdau wa hapo juu unamtaka nini huyo chocolate flavour wa PS?

Ongea na dada sintah atakupa no

Anonymous said...

inawezekana ukamsifu mtu kwa muonekano wake lakini haina maana anamtaka.wadada msiwe unapenda wanaume ovyo kisa sura au miondoko kwani isije ikawa ana uzuri wa mkakasi bwana!!!!!!!!!

yes the guy looks cool na mashallah kajaliwa na elim juu,hongera kwa mwenye mchuma huo.