Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

GOOD THINGS COME FOR THOSE WHO WAIT (THANKS KOKU FROM USA)

JUMAMOSI NILIPOKEA SIMU KUTOKA KWA DADA MMOJA ALIYEJITAMBULISHA KWA JINA LA KOKU ANAYEISHI USA

KOKU ALIULIZA HUYU NI SINTAH WA PS BLOG NIKAMWAMBIA YAP YAP NO ONE ELSE YOU GOT HER

AKASEMA NIMEKUWA NIKISOMA BLOG YAKO NA NAIPENDA SANA BUT HOW DO YOU SEE IF WE TRY SOMETHING DIFFERENT APART FROM FASHION NIKAMWA,MBIA ABSOLUTELY MAMMY LIKE WHAT?

AKANIAMBIA SOCIAL RESPONSIBILITY MFANO KUTEMBELEA MASHULE,KUFANYA AWWARENESS SWALA LA USHOGA,USAGAJI PAMOJA NA ENVIRONMENT MATTERS

NIKAMWAMBIA ABSOLUTELY WILL WORK ON IT MAANA ANATAKA NIFANYE HIVYO ILI WATU WANAOISHI US ESP THE COMPANY SHE WORKS FOR WAJUE PROBLEMS ZA AFRICA

SO DADA KOKU WE ARE WAITING FOR THE MATERIAL YOU PROMISED,AND THANKS SO MUCH FOR THE OFFER
I KNOW WILL GET MORE FROM YOU
THANKS KOKU
FROM
SINTAH (JLO OF TZ)

1 comment:

Anonymous said...

Kwani Sintah unanunuaga wapi pamba zako?