Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NI MISS DAR INTER COLLEGE

WAREMBO WA MISS DAR INTER COLLEGE WAENDELEA KUJINOA PS ILIWAKILISHA MAENEO WALIOKUWA WAKIFANYA MAZOEZI

5 comments:

Anonymous said...

jamani hawa ma miss tumewachoka looh nchi ina vitongoji elfu kumi na tano

Anonymous said...

jamani jamani hii sasa ni kubwa kuliko hee hii fani imepoteza muelekeo hata huyo wa mbele nae anagombea?jamani mwambieni mwenzenu akavune dagaa

Anonymous said...

sasa wa kule mwisho nae ni miss?looooo

Anonymous said...

yaani mimi nilikuwa nina mpango wa kugombea u miss ila kwa style hii Lundenga hunipati n'go

Anonymous said...

yaani mimi nilikuwa nina mpango wa kugombea u miss ila kwa style hii Lundenga hunipati n'go