Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MOVENPICK MALARIA CHUMU LAUNCH

                                                    BBA winner Richard and PS
                                                 Khadija Mwanamboka,Farhat &Devotha
                                                 Mlele and Kanumba
                                          Ally Remtula,PS and jokate

7 comments:

Anonymous said...

yaani huyo jokate kile kinguo alichovaa jana?kilikuwa kituko jamani hee hivi angeteleza pale ingekuwaje?all in all sherehe ilifana,watu walikuwa cooperate zaid binafsi mim nilipenda sana uwepo wako PS

soscovia

Anonymous said...

jamani sinta siku hizi unavaa kiheshima sana kweli kabisa umekuwa mkubwa kila kitu kina wakati wake big up mamitoo

mama wa mitulingaz said...

Im soooo loving your dress Sinta!! you look lovely my dear! its a descent party na umevaa descent, hongera sana!
Lui

loveracheltz said...

sinta kama kawaid yako me siongei sana

Anonymous said...

ooooh lovely PS

Anonymous said...

hivi jamani huyu Ally Remtula ni ni bi shost au ndiodada yetu?
maana nina sare nataka nimpe shost Ally
sinta nisaidie no nimtunze my big shost maana is cute Ally

Anonymous said...

mmependeza