Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HOLLYWOOD YAINGILIWA NA MIMBA.....KATIKA RED CARPET

HATA TANZANIA KILA STAR ANA MIMBA,,JE NI FASHION??JE MDAU UNALIONAJE HILI?NI KUPENDA AU KUIGAAAAAAAA?LOL

2 comments:

fatuma said...

bado wewe dada sinta na wewe upo kwenye mashindano ya blog nikuvote me naipenda blog yako aina makuu

SINTAH said...

dada fatuma nakushukuru sana kwa kuifatilia mimi siko katika mashindano yoyote wangu
endelea kufatilia my blog kwani unaweza ukapata ofa tofauti
kwani sasa nina wadhamini watatu ambao ni Uchumi Supermarket,mafia Lounge na Prote Hotel
thanks
SINTAH