Mama hana mpinzani jamani mama ni mama awe hivi awe vile ni mama kumbuka alivumilia miezi tisa,saa nyingine inaniuma pale ambapo mtu anamtusi mama yake matusi ya nguoni kisa eti amekuwa jamani ukishazaa ndo utaona umuhimu wa mama,mama ni mama,usimdharau mama eeeh
nawapenda wote na atuheshimuni wazazi wetu
HAPPY MOTHERS DAY
from me
No comments:
Post a Comment