Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

TAMAA YA KIMWILI NA FEDHA INAVYOCHANGIA WAPENZI KUSALITIANA

Dada PS
mimi ni mdau wa PS blog,mimi napenda kuwahimiza na kuwahusia ndugu na madada wenzangu kuwa wasiwe na tamaa za fedha kwani inasaliti mapenzi ya dhatiuwa
utakuta dada alikuwa anamahusiano mazuri ila akipata buzi mambo yote yanaharibika
mimi yamenikuta nawahusia mpende akupendae pesa ni mauwa na yanachanua

Rose
Dar

No comments: