Unahabari kuwa Sharon wa BB house anakaribia kuolewa??PS inashuka hivi
Miaka 12 iliyopita UG kulikuwa na Group la obssesion ambapo Ronnie na Sharon walikutana,,Sharon na Ronnie wanamiaka 12 katika mapenzi yao ila walikuwa hawajachumbiana sasa umefika wakati muafaka wawili hao kuvishana pete ya ndoa ya jadi ambayo ina kipaumbele sana nchini UG
All the Best Sharon na Ronnie ktk kwanjulaa yenu,maana ya kwanjula ni( Traditional marriage)
pure source from PS
No comments:
Post a Comment