Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NANI WA KULAUMIWA MZAZI,WAANDISHI WA HABARI?AU YEYE MWENYEWE LULU?

Lulu kwa sasa ndani ya SA
hotlulu
Hotlulu and Ramsey
this gal is cute

4 comments:

loverachel said...

mtoto umleavyo ndivyo akuavyo... pili samaki mkunje angali mbichii

umaskini nafikiri una changia kwa asilimia fulani nikisema hivyo namaanisha kwamba familia nyingi za kawaida mtoto anapotokea akawa na kipato kidogo basi inageuka mzazi anakuwa mtoto na mtoto anakuwa mzazi na ata kama atakuwa anakosea hawezi kukosolewa mana yeyey tayali ameshakuwa mzazi...

ushauri tu waazi tujitaidi kukemea na usimuogope mtoto uliyemzaa mana hawez

Anonymous said...

wewe loverachel umemaliza kila kitu nilichokuwa nataka kusema umesema ukweli kabisa wazazi wengi ambao hawa uwezo wa kipato wanakuwa hawana sauti kwa watoto wao wanavyofanya kosa haswa kama huyo watakuwa wanamtegemea kwa kuwapa matumizi mzazi anakuwa hana sauti kabisa hatakama hicho anachopata sio kwa njia ya halali mzazi anakuwa kama yeye ndiye amezaliwa na huyo mtoto na hii nimbaya sana mzazi anaogopa kumkanya mtoto akifikiri akifanya hivyo mtoto atakasirika akatishe msaada kwao

Anonymous said...

mmmmh Lulu pls go to school first that is your future my little sisy...

Nadia Chanella said...

this is cute