Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KWA WATU WOTE PS BLOGSPOT HII NI HABARI NJEMA

Dear wapenzi wa PS blogspot,
natumain wote mu wazima mnafanya mambo ya kujenga taifa
napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa wote
pili hili ni tangazo kwa wote kama wewe unajijua ure quite ama umeenda kwenye function nzuri ya kupendeza nitumie picha zako,za watoto bday na matukio mazuri
email yangu ni prettysinta244@gmail.com
angalia spelling vizuri

wasalaam
PS

6 comments:

Anonymous said...

safi sana,hayo ndio maneno..punguza story zako binafsi na picha zako coz inaboa inakuwa sio blog tena ni family album yako,inabore.Jaribu kutafuta story mbalimbali zivutie watu na utaona mafanikio.
keep it up baby mwanzo mgumu

g. joshua said...

yap gal keep it up mama usikatishwe tamaa na wachache my dear, hongera my dear tutatuma tu.

g. joshua

PS said...

wewe annoymous nadhani kama utakuwa muangalia blog nyingi utagundua mim siweki my photos zangu nyingi kwa haraka haraka tuu naweka matukio ninayoenda au ninayotumiwa,sipendi advertsment ndo mana ukienda ktk my fb page huwezi kuona picha zangu kwasababnu nazifunga kama natania nenda dm na u turn uone kati yao na mimi nani anaweka photo album
senkyu

grace luv thx so much for the support but as you know me unstoppable, no turning back

Anonymous said...

Dada PS
kweli kabisa wewe huweki photo album kuna wengine wanaweka mpaka kichefu chefu jamani kwa mimi wewe una balance stori sana ndo maana unaweka za wakina zuwena na wengineo.,keep ure head up mamito wetu
love
bb

Anonymous said...

PS
katika maisha ukifanikiwa tegemea na watu kuongea pumba sasa ukiona mtu anaku challange thx to God maana anatamani kuwa kama wewe ila hawezi
Mungu amekubariki dada hata wafanye nini ni vigumu kulipangua alilopanga mola waende u turn waone photo album

Anonymous said...

asante ....sintah umeolewa??