Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KITENDO CHA LOTUS KU MNOMINATE MTZ MWENZIE BHOKE KIMEWASHTUSHA WATU NA KUSEMA WA TZ HATUPENDANI


3 comments:

johari madua luwembas said...

ni kweli watz wengi hatupendani wabinafsi wapenda kuharibiana mambo!

Mustapha maDish said...

Lau ingelikuwa kama walioenda huko ni mwanaume na mwanamke,Lo2c acngemchagua mwanaume mtz atoke...!!
Ukweli usiofichika jinsia 1 inapokuwa pa1 wenyewe hawapendi..!!
Zaidi ya yote hakupaswa kushow kwa dunia vile ilivyo...!!

mama wawili said...

sintah, mi binafsi huyu wanaemuita lotus sio kanibore tu bali kanikera kabisaaa! na wala asitegemee kama kuna watz watampigia kura labda watu wake wa karibu! ni mbinafsi na hana uzalendo kabisaaa. shame on her! mtu mwenyewe hana mvuto, bora hata ya bhoke!!