Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HII SHULE IKO TANZANIA SEMA MANDHARI YAKE KAMA GERMANY

                          Atakayepatia hii ni shule iko mkoa gani atajipatia zawadi nono sana.3 comments:

mama wa mitulingas said...

Hii ni mazinde Juu, na ipo Lushoto, mkoa wa Tangaaa!!!! haya nipe zawadi yangu nono, ahadi ni deni!

Pascal said...

MM NDO NIMEWAHI KUJIBU IPO MKOA WA TANGA. na swali lako uliuliza ni mkoa upi na si wilaya ipi kama mwingine alivojibu,

celine shirley said...

kwa hayo maneno tu ya kwenye contena on 1st pix watu ishawapa jibu kama ni mkoa gani coz washaliandika ni mazinde juu mamaaa tena kukudadavulia ngima inaitwa ST.MARRY'S-MAZINDE JUU its located INSIDE LUSHOTO AREA NDANI YA TANGA REGION. halla