Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

COUPLE OF THE WEEK ANGELINE JOLIE AND BRAD PITT,WHY THIS COUPLE?wapenzi hawa wanakila sababu mimi kuwaweka hapa kutokana na safari yangu ya leo ya kutembelea watoto yatima,wawili hawa wamekuwa wakiasili watoto mara kwa mara, inapendeza sana wanatoa mchango ktk jamii na ma celebrity wabongo wanaweza hayo???

                                          Couple of the week,Angeline&Pitt

No comments: